Hatimae jinsia ya mtoto wa Kanye West na Kim Kardashian yajulikana
Haikuwa siri tena kwa Kim Kardashian na rappaer Kanye West na kwa wahusika wote wa reality show ya “Keeping up with the Kardashians” ambao tayari walikuwa wameshafahamu jinsia ya mtoto huyo baada ya appointment ya Kim Kardashian kwa daktari hivi karibuni ambayo ilirekodiwa kwaajili ya kurushwa kupitia show hiyo ya TV.
Katika taarifa za awali ilifahamika kuwa tayari Kim na Kanye wamefahamu jinsia ya mtoto wao mtarajiwa lakini katika clip iliyowekwa mtandaoni walikata sehemu ambayo doctor alipokuwa anawaambia jinsia ya mtoto huyo, ambayo of course inaeleweka ni sababu walitaka iwe exclusive kupitia reality show hiyo ya familia ya Kardashian.
Kanye na Kim wanatarajia Baby Girl Jamani sasa tusubiri Jina tu