Leo katika kipindi cha Afrika Kabisa Cha Magic Fm katika mahojiano yake na mimi Joniko Flower amesema yeye na mwana dada Lady Jay Dee Aka Anakonda Hawana Tatizo lolote na kwamba Lady Jay Dee ni Kama Dada yake kabisa.
Joniko na mini
Joniko alisema kuondoka kwakwe machozi nikatika hali ya kutafuta maisha tu na kwamba hakuondoka kwa ubaya kwani aliaga na kupata baraka zote kutoka kwa Lady Jay Dee na uongozi mzima wa Machozi
Hata hivyo Joniko ambaye kwasasa anafanyia kazi Bendi ya skyLight amesema kama kuna matatizo yeyote kati ya Machozi Band aliowahi kuifanyia kazi Na Skylight (hajui kama kunatatizo) Basi itakua si kwa ajili yake na kwamba hayo ni mambo yasiyomuhusu
1 Comment
Na wewe salva hebu ongeza nyama kidogo umekuwa kama schelleton hupendezi tena, hata uvaeje. heee