
Mwanamuziki kijana mdogo wa marekani Justin Bieber mwenye umri wa miaka 19 amekamatwa na police wa Miami baada ya kuendesha gari akiwa amelewa huku pia akiwa anatumia leseni ya Georgia ambayo nayo pia ilikuwa imeisha muda wake Msemaji wa polisi wa huko miami Bobby Hernandez alikiambia kituo cha habari cha CNN kuwa pia mwanamuziki huyo mtundu alishiriki katika mashindano ya magari katika mitaa wanayoishi watu Pane Mashindano Ambayo hayakuwa Rasmi na yangeweza kusababisha Hatari
Police wamethibitisha kuwa Bieber alikamatwa Jana Jumatano mida ya saa kumi alfajir Leo wakati anatokea South Beach Miami akiwa na anaendesha gari aina ya Lamborghini na kutweet kuwa alikuwa amekamatwa na Na rapa Crazy Khail ambaye jina lake halisi ni Khalil Amir ambaye alikuwa kwenye Gari Nyekundu aina ya Ferrari.
