Mwanamziki Justine Bieber ameonekana akijifariji katika fukwe za bahari huko Panana baada ya kuwa nje kwa dhamana kwa kosa la kuendesha gari akiwa ametumia vilevi vya Pombe na Bangi huku akitumia leseni iliyomalizika muda wake lakini pia kushiriki mbio za magari zisizo rasmi
Bieber alikamatwa na kuwekwa ndani baada ya makosa hayo lakini aliachiwa kwa dhamana
Kitendo cha bieber kudakwa na na makosa hayo kumewasikitisha wengi akiwemo mtu aliyemtambulisha kwenye muziki Usher Raymond