Wazazi wa North West Kanye Na mchumba Wake Kim Kardashian Wametanganza rasmi kuuaga ukapera na kutenda tendo la ibada La Ndoa hivi karibuni
Kanye na Kim
wawili hao ambao kwa sasa ni wazazi wamesema wanatarajia kufunga ndoa mwezi wa sita mwaka huu huku harusi hiyo ikigharamiwa kwa kiasi kikubwa na Channel E ya Marekani ambayo ndiyo inayorusha vipindi vinavyohusu maisha ya Kim Kardashian
Kim Mwenye Miaka 33 hivi sasa anakuwa anaolewa kwa mara ingine tena baada ya kuachana na mume wake mcheza kikapu ndoa iliyodumu kwa muda mchache sana , Kanye alioziba maskio na kutojali yote mabaya yazungumzwayo juu ya mkewe wake huyo mtarajiwa anakibarua cha kutokelezea mbele ya Camera nyingi sana wakati wa tukio hilo japo ametajwa kuwa ni mtu mwenye aibu sana linapokuja swala la kumulikwa mulikwa