Huyu si Rihanna wala Kim Kardashian bali ni star mwingine aliopo kwenye nyendo hizo hizo Mtangazaji wa luninga anatwa Bleona Qereti na kivazi chake hiki alichokivaa katika tuzo za American Music zilizofanyika jana jumapili Nov 23,