Huu ndio mtindo wa mwanamuziki Kanye Anaoupendelea Zaidi, kuvaa flana ndefu na legging za kiume hasa laser na koti juu au bila, imeonekana hivi karibuni mtoto wake wa kike kuwa katika mapigo ya baba yake zaidi kuliko ya mama yake japo ni Binti,
hii ni kama wazazi hawa wanamuandaa mtoto kuwa jike dume hapo baadae,
Hivi Ndivyo North Anavyoonekana akiwa katika vivazi vya katika mtindo wa baba yake