
Kim na Kanye West wameingia kwenye headlines wikiendi hii, taarifa kupitia Intouch Weekly hiki ndicho walichoambiwa na chanzo cha story hii
“Kanye West amemuwekea kifaa (GPS) Kim K kwenye simu yake kwa hiyo Kanye West anajua popote alipo mpenzi wake, Anampigia simu na Kim anatakiwa amjulishe Kanye popote alipo” Kim anaona kama yuko kifungoni kilisema chanzo hicho, hana uhuru wa kuongoza maisha yake tena na amekuwa akichukizwa na hilo”
Kanye mwenye miaka 37 anataka aongeze, amtangaze, na kuwa wakala ndani ya maisha yake, inamfanya Kim ashindwe kufanya shughui zake ambazo ni muhimu kwake, anataka kuwa mama mzuri na mke mwema na inakuwa vigumu kwake.
