
Hatimae Ile Couple Yenye nguvu zaidi imejidhihirisha baada Jarida La Vogue la marekana kuuza copy nyingi baada ya kuwatumia kama cover Story.
Jarida hilo limeuza zaidi ya copy laki tano 500,000 mpaka sasa japo matarajio ni kuuza copy Milioni moja laki mbili, Idadi ya mauzo mpaka sasa inampiku Beyonce ambaye aliwahi kutumiwa katika cover story mwaka 2013 na kuuza copy 350,000 huku mke wa Rais Wa marekani Michelle Obama Issue yake iliuza copy 300.000 pekee .
