KARIBU ROSE’SY HOTEL MWANANYAMALA, NYUMA TU YA HOSPITAL YA MWANANYAMALA KARIBU KABISA NA AFRIKANDO, MAHALI PAZURI SANA KWA KULALA ,KUPUMZIKA , KUPATA MLO WA KILA AINA KUJIACHIA NDANI YA PUB YAO MATATA KABISA NDANI YA HOTEL HIYO, USALAMA NI WAHALI YA JUU PARKING YA MAGARI KUBWA NDANI NA NI BARABARANI KABISA.
VYUMBA VIPO KAMA IFUATAVYO:
MINI SUITE : SHS 150,000
DELAX :SHS 100,000
STANDARD :SHS 80,000
MAWASILIANO: +255 762 482250
+255 652 777127
EMAIL: Info@rosesyhoteltz.com
KUELEKEA VYUMBANI
HII NDIO MINI SUITE
HII NDIO DELAX
NA HICHI NI TWO IN ONE, KAMA MMEENDA MARAFIKI NA HAMTAKI KUINGIA GHARAMA MNAAMUA KUCHKUA ROOM MOJA VITAMNDA VIPO VIWILI
STANDARD PIA KWA AJILI YETU NI CLASS
HAPA NI RESTAURANT
USIWE NA TATIZO NA SEHEMU NZURI KWA AJILI YA KUPATA KINYWAJI NA KUZUNGUMZA NA MARAFIKI HAPA NDIO NYUMBANI PUB ROSES’Y NDANI YA ROSES’Y HOTEL
PIA KUNA UKUMBI WA MIKUTANO
IJUMAA HII NOV 29 KUNA BONGE YA PARTY ILIOPEWA JINA LA’TOGETHER NIGHT PARTY” NDANI YA ROSES’Y MWANANYAMALA NYUMA TU YA HOSPITAL YA MWANANYAMALA WAKAZI WA KINONDONI MWANANYAMALA KIJITONYAMA NA MAENEO MENGINE USIWAZE PA KWANDE NI KWA AJILI YA WOTE NA KIINGILIO NI BURE HUKU UKIPATA GLASS YA WINE NA JUICE MLANGONI
KARIBUNI
1 Comment
kweli hotel kali sana,pazuri sana jamani