Baada ya msanii Juma jux Kupost Mjengo Wake Wa kifahari Hivi karibuni kupitia Account yake ya picha Instagram na kuambatanisha maneno yasemayo
Hali hii imeonekana kama kumpanikisha msanii Diamond Platinumz ambaye ndio inasemekana mwenye mafanikio zaidi nchini Tanzania, Baada ya kujibu mapigo kwa kupost nyumba yake iliyopo huko Tegeta Jijini Dar Es Salaam na kuandika maneno nyenye kuonyesha kupaniki
Haikuishia hapo kwani Diamond aliongeza na Vedeo ilioonyesha mjengo wake kwa nje na kuongeza baadhi ya sehemu za ndani ya mjengo wake huku akiandika vijimaneno vyenye kumpa moyo na kuwafanya mashabiki wake wasimpotezee imani kwa post ya mjengo wa Juma Jux
Haya Ni Baadhi ya maeneo ya ndani ya nyumba ya Diamond Aliyopost
Zaidi ya hapo inawezekana pia Diamond Ametumia Fursa hiyo kupost marumaru za ndani ya nyumba yake kutangaza bidhaa hizo kwa namna moja ama nyingine, kama tunavyojua Diamond Hutumia Jina Lake kama Fursa pale inapombidi uhitaji wa kitu katika Kujinufaisha Zaidi jambo ambalo hufanya wasanii wengine wakubwa…
pongezi kwa mafanikio kwa wpte Juma Na Diamond kwani hii ni mfano kwa vijana wengine kujituma na kufanya mambo ya maana