
Karrueche mpenzi wa Chriss Brown wanaoachana na kurudiana, yeye ameonekana akifurahia tukio hili akiwa mwenye furaha usoni yani haina tatizo, baada ya Chriss Brown kupost picha yake kwenye ukurasa wake wa instagram akionyesha makalio ya mrembo huyo pia ikionekana tattoo ya zip.
Hii ni mara ya pili ndani ya wiki mbili tu Chriss Brown kufanya hivyo, watu wengi walillalamika kwamba hiyo ni kumshushia heshima mpenzi wake hata kama anampenda basi ndo asimuendeshe anavyotaka na kumdhalilisha.
Wengine wamesema kwamba anajaribu kumuonyesha Riri kwamba ndo hairudi tena ikirudi pancha….Lakini Karrueche mwenyewe hana noma anafurahia anaonekana wakati wa kupiga picha hiyo.
