Karrueche mpenzi wa Chriss Brown wanaoachana na kurudiana, yeye ameonekana akifurahia tukio hili akiwa mwenye furaha usoni yani haina tatizo, baada ya Chriss Brown kupost picha yake kwenye ukurasa wake wa instagram akionyesha makalio ya mrembo huyo pia ikionekana tattoo ya zip.
Hii ni mara ya pili ndani ya wiki mbili tu Chriss Brown kufanya hivyo, watu wengi walillalamika kwamba hiyo ni kumshushia heshima mpenzi wake hata kama anampenda basi ndo asimuendeshe anavyotaka na kumdhalilisha.
Wengine wamesema kwamba anajaribu kumuonyesha Riri kwamba ndo hairudi tena ikirudi pancha….Lakini Karrueche mwenyewe hana noma anafurahia anaonekana wakati wa kupiga picha hiyo.
Karrueche!! Kweli Haya Ndo Mapenzi Niuwe
Related Posts
-
-
Rihanna Kama Jokate Alamba Mkataba Unaofanana Na Wa Jokate Na Kampuni Ya Puma
-
Red Carpet: Tuzo Za Watu
-
New Song: Sammisago Ft Ben Pol-Nimepania
-
Fifa Inamchunguza Mchezaji Wa Brazil Neyma Kama Hakuvaa Boxer Yenye Nembo Ya Fifa
-
Nick Gordon Aomba Ahudhurie Maziko Ya Bobbi Kristina Jumamosi
-
SWALI: KWANINI MAMISS TANZANIA WENGI HAWAOLEWI? MWANASAIKOLOJIA ANAELEZA.