
Ikiwa Ni siku kadhaa tu tangu Member wa kundi la Destiny Child Kelly Rowland afunge ndoa na Manager Wake hatimae ndoa hiyo inaonekana kujibu baada ya msanii huyo kushare picha inayoashiria kuwamba yeye ni mama mtarajiwa
Kelly Rowland Ameshare Picha ya aina yake kama ishara ya kuutarifu uma kwamba yeye ni mja mzito, Picha hiyo aliyo post kelyy ni viatu vikubwa (Raba) na raba za mtoto Mdogo na kuandika ” Ndoa imekuwa Na Mafanikio”
