
Baada ya kumwagana na aliyekuwa Mme wake Lamar Odom Kwa madai ya usaliti ,Khloe Kardashian sasa ana mpenzi mpya James Harden ambaye pia naye ni mcheza kikapu kama alivyokuwa mumewe Lamar japo mpenzi wake wa sasa ameonekana kuwa mdogo kiumri
Khloe Akiwa na mpenzi wake mpya James
James ndio ametimiza miaka 26 mwezi August ambapo sherehe za sikukuu yake ya kuzaliwa ndio zilidhihirisha penzi lake jipya kwa kinda huyo Huku Khloe aliwa Na Umri wa miaka 31
Age is Just A Number Though.
