Tamasha la Kili Music Tour 2014 lilifungwa kwa staili ya aina yake katika viwanja vya Leaders Club ambapo wasanii wanaofanya vizuri nchini walilishambulia jukwaa kwa masaa nane mfululizo na kuzikonga nyoyo za maelfu waliojitokeza. Burudani usiku huo ilipambwa na Mashujaa Band, Mapacha Watatu, Malaika Band, Rich Mavoko, Vanessa Mdee, Jambo Squad, Ommy Dimpoz, Ben Pol, Khadija Kopa, Profesa Jay, Mwana FA, AY na Weusi.
Mvua iliyomwagika wakati fulani haikuwa kikwazo kwa mashabiki kuendelea kufurahia burudani na hadi mwisho wengi kuondoka wakiwa wameridhika.
Umati uliojitokeza viwanja vya leaders club ukisubiria burudani ya
Kili Music Tour kuanza
Meneja wa Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akiwa na wadau
wengine wa Kili eneo la VIP kabla ya kuanza kwa tamasha
Mashujaa bendi wakiufungua rasmi usiku wa Kili Music Tour viwanja
vya leaders club
Jose Mara akiiongoza bendi ya mapacha watatu kulishambulia jukwaa
Christian Bella na Malaika Music Band
Wadau wakiifuatilia burudani
Ommy Dimpoz akiimba wimbo wa Me and You akiwa na Vanessa Mdee
Backstage: Mwana FA na AY
R&B ikiwakilishwa na Ben Pol
AY
Mwana FA
Joh Makini toka Weusi
24. Mashabiki wakizungusha Kikwetu
Weusi wakilishambulia jukwaa kwa pamoja