Baby Mama wa Mwanamuziki nguli wa marekani Kanye West, kim Kardashian mwenye umri wa miaka 32 sasa amejifungua mtotowake wa kike salama Jumamosi asubuhi katika hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center iliyopo Los Angeles,
Ripoti Inasema Kim Amejifungua Kabla ya mwezi mmoja zaidi so imekuwa mapema zaidi ya tathmini ya Tarehe yake ya kujifungua, Hata hivo chanzo cha karibu na familia ya Kim Kardashian kiliuambia mtandao wa TMZ ya kuwa Mama na mtoto wote wanaendelea vizuri kiafya