Baada ya kimia kidogo Msanii wa miondoko ya Ragga Dance Hall, Big JahMan amekuja na kichupa kipya kikali kama utakavyokiona hapo director akiwa Malcom, Video inaitwa ‘Sweet Sweet’ Audio ya wimbo huu pia imetoka na utaisikia kupitia vituo mbali mbali vya Radio.
Support ndio jambo la msingi kwa wasanii wetu wa miondoko hii ili tusiwapoteze kutokana na uchache wao ulivyo
1 Comment
Add Your Comment