
Muaimbaji Na Mwigizaji Jennifer Lopez, Duchess of Cambridge Kate Middleton Na Muimbaji Beyonce wametajwa wadada waliokwenda zaidi na fashion kwa mwaka 2014 Wakati Kim K Akishika Mkia katika List Hiyo
Utafiti Huo wa kuwapata washindi hao ulihusisha wanawake 1,000 wa marekani Ulifanyika Online kwa kuwashirikisha online Subscription Service LeTote.com
List Nzima Hii Hapa
Top 10 Trendsetters
1. Jennifer Lopez
2. Kate Middleton
3. Beyoncé
4. Angelina Jolie
5. Michelle Obama
6. Gwen Stefani
7. Rihanna
8. Victoria Beckham/Katy Perry
9. Jessica Alba/Sarah Jessica Parker
10. Kim Kardashian
