Kim Kardashian ameamua kuweka mambo hadharani katika mtandaoni ili watu walishuhudie ukweli wa mambo…..
Uamuzi huo mgumu umekuja baada ya mtandao maarufu wa TMZ kumvaa Kim kwa madai kuwa amekuwa akipotosha uma kwa kutoa picha feki za mimba hiyo na kudai kuwa ni zake. …