
Kim Kardashian sasa rasmi amerudi, akitoka kujifungua mtoto wa kiume anayeitwa Saint kwa mara ya kwanza ameshare picha akiwa na familia yake isipokuwa Saint tu, Kanye West na Kim Kardashian wameahidiwa mkwanja mrefu endapo watatoa picha ya kwanza wakimuonyesha mtoto wao wa aliyezaliwa Saint na vyombo hivyo vya habari vimeitaka picha hiyo wawe familia nzima akiwemo na North.
Lakini taarifa zinaeleza kwamba Kim na Kanye wamekataa ofa hizo, check picha walizopiga kwenye mkesha wa Christmas watu kibao walikuwepo…
