
Donald Trump ali Tweet kama ikiwa ni ku share tu mawazo yake huku akisema, Kuwa na kiongozi Mweusi katika nchi kama Marekani itakuwa ndoto za abunuasi mara baada ya kung’atuka kwa Rais Wa Sasa na wa kwanza Mweusi Barak Obama
Alisema “Historia Itamkumbuka Barak Obama Vizazi Kwa Vizazi , Kizazi Cha Trump kitajifunza na kutasoma tu Historia yake shuleni kwa miaka 500 ijayo kuanzia sasa,, Obama Ni Historia”
Waweza Ona Twewwt Zake Hapa
