Kwa mara ya kwanza jana Jumatano June 25 Couple yenye nguvu zaidi duniani Jay Z na Beyonce wameonyesha picha zao za harusi waliyoifunga kwa siri mwezi april 2008 katika screen zilizopo uwanjani huko Miami wakati wa tamasha lao la “On The Run”
Kipande hicho cha picha ambacho kinaonekana kilichukuliwa na camera ndogo ya nyumbani kilichezwa kati kati wakati show inaendelea na kukiwa na umati mkubwa sana
Wapenzi hawa walifunga ndoa ikuwa tayari walikuwa kwenye mahusiano kwa miaka sita
Picha Nyingine za tamasha lenyewe hizi hapa