Pamoja na kutoibuka na tuzo ya BAFTA (British Academy Of Film And Television Art) za nchini uingereza baada ya kutajwa katika vipengele vyote alivyotajwa lakini ni movie aliyocheza ya 12 years years A slave ilishinda Best Film kwenye Tunzo Hizo
Kuzaa kuzuri jamani, ndio maana unaambiwa usikate tamaa mpaka unaingia kaburini, Huenda mama wa lupita hakuwahi hata siku moja kufikiria kuwa angeweza kukanyaga tena katika Ardhi ya Hollywood labda kutokana na umri kwenda na kwamba ndoto zake zlikamilika kwingine
Lakini Kupitia mtoto wake mama huyo amekuwa Super Star Wa HollyWood bila kutegemea baada ya mtoto wake kung’aa sana katika ulimwengu huo wa Watu maarufu na wenye mkwanja mrefu zaidi Duniani
Mpe mtoto wako Elimu na Muongoze katika ndoto zake maana yeye atakuwa mwanga wako baadae.
Lupita Nyong’o Akiwa katika Tuzo za BAFTA
Lupita Nyong’o Na Mama Yake
Hapa akiwa na mama yake wakati wa chakula cha usiku katika Charles Finch and Chanel Pre-BAFTA
Hapa Akiwa Na Wenzie Walioigiza katika Movie Ya 12 Years Brad Pitt na director Steve McQuee