
Kylie Jenner amemaliza high school na kupata diploma, Kylie Jenner mwenye umri wa 17 akiwa na furaha aliandika post akiwa na furaha akimshukuru mama yake aliandika “Nakupenda mama kwa kulifanya hili, Asante kwa kulifanya hili kuwa kitu cha kawaida na kuwezekana kwangu, Yay nimemaliza”
“I love my mom for doing this..Thank you for making this experience as normal as possible for me.Yay I graduated
Kylie Jenner na Tyga inasemekana wanamahusiano, na Tyga hawezi kukubali kwamba ni mpenzi wake kwa sababu Kylie Jenner is under 18 ni kinyume cha sheria, lakini mapozi ambayo huwa wanaonekana nayo mmh!! Unapigia mstari They are lovers……
