Mshehereshaji wako usiko huo alikua Salma Msangi. Lakini pia nilipita jukwaani kuonyesha kiwalo nilichobuni mwenyewe kama mnavoniona hapo. Onyesho lilifanyika Serena Hotel.