Jana usiku katika kiota cha Maraha Nyunbani Lounge ndipo uzinduzi rasmi wa Video Ya Lady Jay Dee ft Proffesor J – Joto Hasira ilizinduliwa. Japo umeme ulileta shida kadogo wakati wa Video hiyo kuonyeshwa tulipata kuiona mwanza wake na kuenjoy Muziki mzuri wa Band ya Machozi.
Tazama picha jinsi watu walivyo Enjoy usiku huo
Lady Jay Dee na kundi zima la Machozi Band
Wageni waalikwa wakifuatilia vizuri zoezi zima la uzinduzi wa Video hiyo.
Kwenyekiti palikua hapakaliki, Mama wa Mitindo Asia Idarous wa Khamsini akiongoza Mduara
Johari
My Favourite Model
Dojo na Domo kaya
Jide na Professor waliosababisha kibao cha Joto Hasira
Salute wakongwe
Kubwa la Maadui Khadija mwanamboka kushoto akiwa na Mbunifu chipukizi Halima Kamusi
Mboni masimba kutoka kushoto, Shammim Mwasha mama 8020 number one female Bloger wa bongo Rafiki pale sikumtambua kwa haraka na Monica aka mama jj.
Anaitwa Bahati Rafiki wa karibu na Jide aka muke ya muzungu
Picha ya pamoja na wakongwe hapo katikati
Sele na mkewe
Rachel Tem
Tazama video hapa