Binti Machozi, Mamaa some food, Commando, Anaconda mkali Lady Jay Dee baada ya mapumziko marefu Lady Jay Dee amewaandalia mashabiki wake show kali siku ya leo Ijumaa 31 Oktoba 2014 pale MOG zamani Nyumbani Lounge Kinondoni nyuma ya Best Bites.
Lady Jay Dee and The Band watakuwa wakisimamia burudani hiyo mwanzo mwisho kuanzia saa 2 usiku hadi late night.
Kilimanjaro awards winning artist Lady Jay Dee akipiga stories na Magic FM alisema anawakaribisha mashabiki zake wote kufika pale kushuhudia show kali kutoka kwa Lady Jay Dee and The Band
Tukutane pale MOG bar and restaurant kuanzia saa 2 usiku salmamsangi.com itakuwepo kucover kila kitakachokuwa kikiendelea usiku wa leo.