Mkali wa ngoma ya Drop the world,Lil Wayne baada ya kufanyiwa upasuaji wa kiwiko cha mkono kwenye hospitali inayofahamika kama University of Miami,kwa sasa mkali huyo anaendelea poa.
Kupitia ukurasa wake wa twitter jana Novemba 18 Lil Wayne alifunguka kwamba amefanyiwa upasuaji wa kiwiko cha mkono.
Aliandika “Much luv 2 Dr. Kaplan & his team at Univ of Miami hospital for a successful (elbow)surgery,” the New Orleans rapper writes. “& dey had me on the tunes during surgery…dope!”
Dr. Lee Kaplan ni mtaalamu wa upasuaji na kiongozi wa sports medicine program kwenye hospitali hiyo.
Tunakutakiwa upone vizuri mkali Lil Wayne ili uendelee na kazi yako ya muziki, wish you well and get well soon.