Miss Elliot hivi karibuni amerudi kwenye game la muziki baada ya kupumzika kwa muda, amerudi akiwa na Pharrell na kufanya ngoma ya “WTF”. Toka Miss Eliot rapper kutoka Virginia aliachia albamu ya The Cookbook miaka 10 lakini kwa sasa ameibuka Nick Minaj akiwa ni rapper ambaye yupo juu katika game kwa sasa.
Wapenzi wengi wa Hip Hop wanaona chembechembe za Miss Elliot kwa rapper Nick Minaj, Billboard walitaja kishawishi kwenye cover story kuhusu Miss Elliott.
“Kweli anavutiwa na mimi, kwa bahati mbaya kuna Miss mmoja tu” alisema Miss Elliott.
Miss anafahamika kwa ngoma zake kali kama “The Rain (Supa Dupa Fly” “Get Your Freak On” na “Work It” pia aliongelea kukosekana kwa marappers wa kike kwenye rap music siku hizi.
“Nilikuwa mimi, Lil Kim, Eve,Fox Brown, Trina.bado nafasi ipo kwa wengine wengi,ni muhimu” alisema Miss kuhusu wakati wake.
Miss Elliott anajiandaa ngoma zaidi, anajua jinsi watu watakavyochukulia, anajua kwa sasa utamaduni wa mitandao mengi yamekuwa yakiendelealinapokuja swala la kukosoa.
“Natakiwa kuwa muangalifu, mambo yamebadilika sasa, watu wako haraka sana kupenda,hivyo hivyo ukiharibu tu unatupwa kule” alisema Miss Elliott.
Unajua Nick Minaj Anachembechembe Za Rapper Gani Wa Zamani Wa Kike?
Previous Story
Lil Wayne Aendelea Kupata Nafuu Baada Ya Upasuaji
Related Posts
-
-
Ni Mwaka Sasa Tangu Uondoke, Sharo Milionea Unakumbukwa Sana Na Mashabiki Zako
-
Aliyeshambulia Bus Tour La Lil Wayne Afungwa Jela Miaka 20
-
Rais Kikwete Ampongeza Diamond Kwa Kuletea Taifa Heshima
-
Picha: Paul Wa P’Square Anunua Nyumba Atlanta Marekani,
-
Sanam Kubwa Zaidi Duniani ya Nelson Mandela Kuzinduliwa Afrika Kusini
-
Haya Ndio Yaliomkuta Star Wa Tv Ambaye Ni Mama Kijana Na Mcheza Porn Baada Ya Kutaka Sexy Lip