Mwanzoni tulishazungumza hapa hapa kupitia Under Cover stories kwamba rumors has it kwamba Lil Wayne anatoka na Christina Milian, lakini Wayne alikanusha na kusema wako kikazi tu na kwamba amemsaini Young Money it was job!!
Bila kuathiriwa na talaka zote za mastaa zilizotokea kote duniani, Je Lil Wayne anaelekea kutulia chini na mpenzi wake Christina Milian?
Christina is so into Lil Wayne kwa sababu haachi kumuongelea mkali huyo kutoka YMCMB, uvumi wa mwanzo ulisema kwamba wawili hao wanatoka lakini walikanusha, Christina Milian alisika mwenyewe akisema kwamba anafuraha sana kumdate Lil Wayne na akasema ni rafiki mzuri ambae hajawahi kukutana nae!!
Ndio au hapana wawili hao wanakwenda kuoana, Christina Milian alisema hana haraka na engagement na hawatategemea kusikia kengele za harusi muda wa karibuni.
Hii inamaanisha mambo yatakuwa kimya kimya, Wewe ukiwa kama shabiki wa Lil Wayne unafikiria nini kuhusu couple hii? Ndo yale yale ya kina Amber Rose na Wiz Kahalifa, Nick Cannon na Mariah Carey na wengine