Habari njema kwa wapenda burudani wote Afrika Mashariki, Nani hamjui Rabbit aka Kaka Sungura? Au nani hamjui Rich Mavoko? Kama huwajui, toka porini uje uanze kuishi na watu wanajua mambo yanayoendelea mjini.
Rabbit na Rich Mavoko ni majina mawili makubwa sana katika kiwanda cha muziki wa Afrika Mashariki na muziki wao ni mkali na hakuna wa kuuzuia au kuwa na maswali yasiyokuwa na msingi.
Ngoma kali “Ligi Soo” na “Roho Yangu” kwa njia moja ni ngoma ambazo umewafanya wasanii hao kufanya vizuri katika muziki wa Afrika Mashariki.
Habari nzuri kwa wawili hao kwenye colabo hiyo, unategemea nini kutoka kwa wakali hao kupitia hiyo colabo?
Habari hizo ziliwekwa wazi na Rich Mavoko mwenyewe kupitia instagram yake, ndipo alipopost cover ya single hiyo.
Rich Mavoko Na Rabit Kufanya Colabo!!
Previous Story
Lil Wayne Apanga Kufanya Harusi Ya Siri Na Christina Milian
Related Posts
-
-
Madawa ya kulevya yakamatwa ndani ya basi la ziara ya Justin bieber.
-
Msanii Elizabeth Michael aka Lulu akifurahia Maisha ya uraiani na Rafiki
-
BIG BROTHER THE CHASE KUKINUKISHA JUMAPILI HII
-
Cristiano Ronald Atokea Uchi Katika kava La Jarida La Vogue Spain La Mwezia june
-
Millen Magese achangia Mamilioni shule ya mjini Mtwara.
-
Picha 40 Wakati Wa Zawadi @ Ara’s 40 Maulid @Salmamsangi Baby Boy