Katika top 5 ya mkali huyo yupo Drake, Kendrick Lamar, J.Cole na Kanye West wasanii watano wakali anaowakubali, akiwa anappiga stories na HipHopDx makao makuu akiwa anaachia albamu yake ya sasa ya Under Pressure, ndipo alipowataja wasanii hao watano katika kiwanda cha muziki anaowakubali.
Alimtaja pia Dylan, na alikuwa akicheka mwenyewe kabla hajaanza kutaja list hiyo.
Alisema hao ndio wasanii wa kwanza anawaweka katika top 5 ingawa kuna wasanii wengi, lakini aliomba samahani kwa wengine ambao hajawataja, akasema anawapenda wengi.
Katika list ya Logic unadhani nani amesahulika? Na wewe taja wasanii wako watano wakali.
Logic Ataja Top 5 Ya Wasanii Wake Watano Kwa Wakati Huu
Previous Story
Chid Benz Atoka Mahabusu Kwa Dhamana
Related Posts
-
-
Nicki Minaj Ashinda Tuzo Ya People’s Choice Award
-
VIDEO: MUZIKI GANI-NEY WA MITEGO & DIAMOND
-
Hii Ndo Siri Ya Ndoa Ya Jada Pinkett Na Will Smith Kudumu Kwa Miaka 18
-
Wamaasai Waliopangwa Kutoa Burudani Kwa Rais Obama Kenya Hawa Hapa
-
Maskini Diamond Platinum Mwisho kayatoa ya Moyoni Mpaka Nimemuonea Huruma
-
Mdada Yvonne Aliyemtwanga Chupa Aunt Ezekiel Aburuzwa Mahakamani