
Lupita Nyong’o mwanadada amabe ameendelea kuishi ndoto yake baada kushinda tuzo kibao, sasa ameendelea kufanya vizuri na kufanya magazeti mengi makubwa duniani kuvutiwa nae na kumuweka kwenye kurasa za mbele za magazeti hayo na kuvuta mkwanja mrefu.
Hapa ametokea kwenye gazeti la Ufaransa linaitwa Elle France likiwa ni tolea la mwezi huu Julai…Go! Go! Go! Lupita!
