
Ukistaajabu ya musa Ya Firauni ndio balaa kabisa, kweli tumefika huku kweli katika hali ya kawaida tu???
Ni vigumu kuizungumzia imani ya mtu lakini sasa ni zaidi, Nyakati za mwisho zimeanza kuwasha taa nyekundu sasa
Mchungaji wa kanisa moja lililopo Pretoria Afrika ya Kusini amewashawishi waumini wa kanisa lake kula nyasi ili waweze kuwa karibu kabisa na Mungu.
Ili uwe karibu na mungu yakupasa kula Majani kuthibitisha imani yako
Hata akiwakanyaga ni sawa tu kwa maana ufalme wa mbingu si Rahisi Kuufikia
