Mawasiliano kati ya Dar es salaam na Bagamoyo mkoa wa Pwani yamekatika mara baada ya tuta la barabara ya bagamoyo pembezoni mwa Daraja la mto Mpiji kusombwa na maji kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha
Hata Hivyo Inadaiwa zaidi ya watu saba wanadhaniwa kupoteza maisha kutokana na kadhia hiyo ya mvua..