
Hatimae Mtandao wa kijamii Wa face Book Nao unaangalia namna utaweza kusitisha hudama yake kwa nchi ya Uganda ukiungana na mitandao mingine kama Whatsup Na Instagram
Haya yote yanatokana na uamuzi wa nchi hiyo wa kupitisha sheria ya Kupinga na kuzuia mapenzi ya jinsia Moja
Taarifa za kutoka humo mtandaoni zinasema wenyewe walianzisha kusuport haki za binadamu na uhuru wao wa kufanya mambo sasa kwa nchi ya Uganda kupinga Ushoga ni sawa na kukiuka haki za binadamu hivyo basi wanafikiri namna watasitisha huduma zao ili kuonyesha kukwerwa na kitendo hicho kwa muda wao watakaoona unafaa
Kwakweli Hili Nalo Tukio,
Je Uganda itabadilisha maamuzi yake baada ya kuandamwa na mataifa makubwa na vyombo vikubwa duniani Huku Ikinyimwa misaada kutoka baadhi ya nchi na taasisi kubwa duniani???
Kama hufahamu mmoja wa waanzilishi wa mtandao wa Face Book Chris Hughes ni shoga na ameolewa na mwanaume mwenzie ambaye ni Sean Eldridge tangu june30, 2010
