Kama Ilivyo Hapa kwetu kumekuwa na tatizo la makondakta Daladala kuwa na tabia ya uchafu kutooga wala kupiga mswaki hali inayoleta kero kwa abiria wanaotumia usafiri wa dala dala
Makondakta hao wakiogeshwa kwa nguvu chini ya ulinzo mkali wa Abiria
Sasa kwa majirani zetu huko kenya wao wamechoka na kero hizo na kuamua kuchkua sheria mikononi kwa Kuwaogeshwa hadharani Mbele Ya Abiria Tukio lililotokea katika mji wa kisumu jijini Nairobi kwa kile kilichodaiwa kuwa walikuwa wananuka hali ambayo inaathiri biasharaa na pia kiafya.
nadhani hata hapa kwetu iwe hivyo ili iwe fundisho, Ki ukweli unapoidharau kazi yako ndipo itakapodharaulika na wengine lakini ukiipenda kila mmoja ataitamani