Mambo bado yanaendelea kuwa magumu kwa manabii wengi walioibuka siku za hivi karibuni wakidai ni wajumbe waliotumwa na mungu kuuelekeza umma katika mambo ya ibada lakini zaidi kutibu na kufanya baadhi ya miujiza ambayo Yesu Aaliwahi yafanya
Mchungaji huyu kutoka Huko Afrika magharibi amekumbwa na mauti baada ya kuzama majini wakati anajaribu kutembea juu ya aji mbele ya wauini wake
Mchungaji Franck Kabele, mwenye umri mdogo kabisa miaka 35, aliwahakikishia waumini wake kuwa yeye anauwezo wa kufanya miujiza ya kutembea juu ya maji na akataka kujaribu zoezi hili huko Gabon’s beach Kwenye Mji Mkuu Libreville.
Kupitia Mistari ya Kitabu Cha Biblia alisema kama anaimani thabiti basi ana uwezo wa kutenda miujiza ambayo bwana Yesu Aliwahi kuitenda
kwa mujibu wa mashuhuda wa kisanga hicho mchungaji Kabele aliwapeleka waumini wake katika ukanda huo wa pwani ya Kombo Estuary ili wakashuhudie tukio lake la miujiza la kutembea juu ya maji kwa kukatiza kwa miguu ambapo kawaida ni dkk 20 kupita kwa Boat
Hata hivyo zoezi hio halikufanikiwa baada ya Mchungaji huyo kuzama ajini ara baada tu ya kuyakanyaga maji na hakurudi Tena
Tusimjarinu maana Hajaribiwi