Mhe. January MakambaNaibu waziri wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Technolojia, Mheshimiwa Januari Makamba ‘ameshine’ baada ya kutokea katika orodha ya mwaka 2013 kutoka jukwaaa la Uchumi la Dunia (World Economic Forum) ya viongozi wenye umri mdogo ambao wamepata heshima ya pekee kwa mambo mbalimbali ambayo wamekuwa wakiyafanya ili kusaidia kuinua hali ya maisha katika jamii zinazowazunguka. Katika orodha hii pia wanatokea viongozi wengine mbalimbali za dunia ambao kwa nafasi zao wameweza kufanya mambo ya tofauti kusaidia.
Kuwafahamu wengine waliopata heshima hii chek hapa http://www3.weforum.org/docs/YGL13/WEF_YGL13_Honourees.pdf