
Radio Magic Fm Ya Dar Es Salaam Inatarajia Kufanya tamasha kubwa Mjini mtwara tarehe 22Nov ikiwa ni maadhimisho ya miaka 14 Ya magic Fm ambapo yataandamana na uzunduzi wa masafa mapya ya 92.9 mtwara
Uzinduzi Huo Utasindikizwa na burudani toka kwa mwanadada Lady Jay Dee, Ommy Dimpoz Na Mzee Yusuf Huku Producer Man Water Wa Combination Sound Atafanya Zoezi La kusaka vipaji na mshindi atapata mkataba wa kuingia kwe Record Lebel Ya Combination
Tamasha Litafanyika Katika Viwanja Vya Mashujaa Kiingilio Ni Bure
