Justine Bieber Akiwa Chini Ya Ulinzi Baada Ya Kukamatwa akiwa Anaendesha Gari Huku Amelewa Huko Miami Marekani
Mke wa rais Wa Marekani Mama Michelle Obama Ameingilia kati swala la nidhamu mbaya ya Mwanamuziki KutokaNchini Canada Justine Bieber iliyoanza kuonekana kwa matukio mfululizo hivi karibuni
Mama Obama alisema katika mahojiano na kituo cha Radio cha Univision Radio kilichoendeshwa ma Enrique Santo huko Marekani kuwa angekua yeye ni mzazi wa justine Bieber angekaa na Bieber karibu ili kuweza kujua nini kinamsumbua nini kipo kichwani chake nini anafikria nani yupo kwenye maisha yake nani hayupo hasa katika kipindi hiki Ambacho Bieber anateswa na umri wake (Foolish Age) ABC News Iliripoti
Hata Hivyo aliongeza kuwa kutokana na umri wa kijana huyo kuwa bado Ni Mtoto Mdogo anahitaji uangalizi mzuri na wakaribu kutoka kwa wazazi wake,
Ni hivi karibuni tu ambapo Bieber amekuwa katika mabalaa ya kujikuta akivunja sheria za nchi kwa kukamatwa akiwa anaendesha Gari huku amelew lakini pia akijihusisha na mbio za zisizorasmi mitaani na kutumia leseni iliyoisha muda wake, lakini pia alijisalimisha police huko kwao Canada baada ya Tukio la kumshambulia Dereva wa gari la kifahari Limo siku za nyuma
Wazazi wa marekani walipiga kura ya maoni ili kuomba Bieber arudishwe kwao Canada Kutokana na kuchoshwa na matukio yake lakini pia wazazi hao wakihofia watoto wao kuharibika kutokana na kumkubali sana Mwanamuziki Huyo
Alisema Mamam Obama:
“I would pull him close,” said Obama.
“I would be very present in his life right now, and I would be probably with him a good chunk of the time, just there to talk, to figure out what’s going on in his head, to figure out who’s in his life and who’s not, you know.”
Parenting teens is probably one of the daunting tasks that parents could face in life. At some point in time, teens would demand their freedom and liberation. However, parents should make sure that their growing children get adult direction and not just let them flee away on their own when they feel like it. This is maybe the message that Obama wants to put across.
“I found that to be that case with my kids,” said the First Lady.
“They just want you near, you know, they want that advice from a parent.”
“He’s still a kid, he’s still growing up, so I would pull him close,” were Obama’s last words of advice.
Michelle Obama ni mama wa watoto Wawili Sasha Na Malya, pamoja na kuwa mabinti hao ni watoto Wa Raisi mkubwa Zaidi Duniani Lakini wameonekana kuwa ni watoto wenye nidhamu bila kujali nafasi walionayo, huenda malezi anayowapatia mama Obama Ndio Siri Kubwa ya Nidhamu Kwa Watoto Wake Hao.