Hatimae Ney wa Mitego Kapewa majibu yake na mshindi wa BSS mwaka 2013/2014 Emma Msuya Baada ya kuonyesha maajabu ya pesa alizoshinda kwa kufungua miradi kibao pamoja na Kujenga Nyumba Ya kuishi
Mshindi huyo ambaye ni mkazi wa musoma amejenga nyumba aya kuishi, Anamiliki Studio Ya kurekodi muziki pia amenunua nyumba ya kufanya bishara ya Stationary na Kununua Gari Aina Ya Opa huko huko Musoma
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Rita Paulsen Ameshare Picha mafanikio za mshindi huyu kwa furaha huku akiandika katika baadhi ya picha kwa kuandika “gate kali from bodaboda Driver”
Lango kuu la kuingia nyumbani kwa Emma Msuya Mshindi wa BSS mwaka 2013/2014Gari pamoja na nyumba ya Emma MsuyaEmma Akiwa ndani ya studio yaake
Hii ndio maana halisi ya U star