
Ice Bucket Challenge ni Kampeni inayowashindanisha watu maarufu wa marekani na mashuhuri wenye pesa kuchangia pesa kwaa ajili ya kuchangia kituo cha ALS kusaidia watu wenye maradhi ya Neva
Sasa ukupendekezwa na wenzako inabidi utekeleze, mawili utoe pesa au ujimwagie maji ya baridi sana kutoka kwenye barafu kuanzia kichwani na kupost kupitia mitandao ya kijamii ili watu waone
Kampeni hii imetumika zaidi katika kipindi hiki cha kiangazi na masta wengi wanasoka wacheza vilamu na hata viongozi wa marekani wameshiriki
unaambiwa mwaka jana kampeni hii ilikusanya kiasi kikubwa sana cha pesa
Watu waliokuwa nominated wanatakiwa wajimwagie ndani ya masaa 24 au uchangie mkwanja (charitable financial donation)
Rais Wa Marekani Barak Obama yeye alitoa nje swala la kumwagiwa maji ya baridi kama ilivyokuwa kwa msanii justine Timbalake
ONA VIDEO HAPA
