
Hizi ni taarifa nyingine kutoka kwa wabongo waishio China kuhuisiana na msichana aliyewahi kuwa Miss Kiswahili Tanzania 2009 Rehema Fabian kukamatwa na madawa ya kulevya China.
Taarifa hizi zimeenea miongoni mwa wabongo waishio china huku rafiki wa karibu na mrembo huyo walioomba kutotajwa majina yao wakisema mrembo huyo aliondoka kama wiki moja iliyopita kuelekea Shangai China ambapo pamoja na kosa hilo ana kosa lingine ambalo lilikua nai kupitiliza muda wa kuishi China tofauti na Viza yake inavyojieleza
Taarifa hizi zimeombwa zifikishwe kwa mama mzazi wa Rehema au ndugu yeyote wa karibu,
kama ndivyo sivyo pia Ndugu wasaidie kutoa ufafanuzi
Chanzo: DJ Choka Blog
