
Msanii Rachel anaetamva na wilmbo wake wa nashukuru umerejea, upepo na pilipili alofanya na bi Patrishia akiwa katika oficce za Magic Fm alipokuja kwa ajili ya kutambulisha wimbo wake mpya wa pilipili alofanya na bi patrishia. Pamoja na mambo mengine aliponda wasanii wanaodhani kujichubua ndio urembo na kwamba huko ni kutojiamini.
Rachel katika pozz mbali mbali mara baada ya kipindi cha mwanamke leo Pia Rachel alipata naafasi ya kujadili mada ya siku kupitia kipindi hicho ambayo ilikua ikisema ” malezi mabovu ya wazazi kwa wototo wao ndio kielelezo cha matokeo mabaya ya kidato cha nne na mmomonyoko wa maadili? Aliwasihi wanafunzi waliofeli kutokata tamaaa na kwamba kufeli form four sio mwisho wa maisha.
