Mwanamuziki aliyeitikisa vilivyo Kenya kabla ya kuokoka na kuachana na muziki wa kidunia, mwanadada Size 8 sasa ameanza kufunguka katika interview kwenye vituo mbali mbali vya redio na Tv kuhusiana na maisha mapya ya kidini.
Kati ya mambo yote ambayo Size 8 amekuwa akiyaongelea, ni moja tu ambalo amekuwa akilitilia mkazo kwa kumaanisha kuwa linamsikitisha zaidi …..Jambo hilo ni lile la kupoteza BIKRAYAKE…..
Baada ya kutangaza kuwa hatavaa tena nguo fupi kama alivyokuwa amezoea, amefunguka zaidi na kusema anajuta sana kuipoteza bikira yake na kwamba hatafanya tena mapenzi mpaka pale atakapompata wake wa maisha.
Size 8 ameziambia media kuwa “Najutia sana kupoteza bikra yangu. Ninaamini kuwa kijana anatakiwa kujilinda na kujizuia kufanya ngono katika ujana wake wote mpaka atakapo pata kibali toka kwa Mungu.”
pia aliandika maneno haya kuashiria kujuti akitendo cha kuipoteza Bikra ayake
“I regret losing my virginity. I believe the youth should abstain from sex”.