Maelfu ya watu wa mji wa Dodoma wamejitokeza kuaga mwili wa aliyekuwa msaniiwa muziki wa kizazi kipya marehemu Mez B viwanja vya Mashujaa leo mchana mjini Dodoma.Baada ya kuagwa mwili wa marehemu Mez B, mwili huo ulipelekwa kwenye makaburi ya Wahanga yaliyopo eneo la Maili Mbili mjini Dodoma na kufanyiwa ibada ya mazishi.
Mez B
us cialis prices – cvs nj pharmacy hours – beta blockers viagra – generic viagra canada – non prescription cialis canada
alifariki siku ya Ijumaa 20 Februari 2015, baada ya kuugua kwa muda mrefu homa ya mapafu, Mez B alikuwa ni memba wa kundi wa Chamber Squad lenye makao yake mjini Dodoma, kundi lililokuwa likiundwa na marehemu Albert Mangwair ambae alifarika nchini Afrika kusini mwaka juzi 2013, memba mwingine ni Dark Master, Noorah na marehemu Mez B mwenye.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amin.