Mahakama ya Rufaa Kanda ya Dar imeridhia hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya faini ya Sh. Milioni 13 na kumwachia huru staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja.
Kajala sasa anapeta katika rufaa hiyo iliyofunguliwa na mumewe, Faraji Agostino, ambaye anatumikia kifungo cha miaka mitano katika hukumu ya kesi ya kutakatisha fedha haramu iliyotolewa mapema mwaka huu.
Msanii wa Filamu Kajala Masanja Yupo Huru, Mahakama Yaridhia Hukumu Yake, Rufaa Yatupiliwa Mbali
Related Posts
-
-
Pre-Party Picha: Mtoto Mzuri Tj It Is Her Birthday Today!! Congrats Tj.
-
Big Brother the chase: Fumanizi la kuoga bafuni na mwanaume mwingine lamponza Feza, Amuomba radhi mpenzi wake.
-
Mwanariadha Wa Afrika Kusini Oscar Pristorius Amuua Mpenzi Wake Kwa Risasi Akidhani Ni Jambazi
-
TIFFANY DIAMOND HOTEL & SPAR CLUB TO BE LAUNCH THIS FRIDAY (CLUB TIFFANY)
-
Kampuni Ya Adidas Yazindua Mpira Utakaochezewa Kwenye Mashindano Ya Kombe La Dunia Mwakani
-
Happy Birthday To My Best Friend, My Love, My Beautiful, My Partner In Crime, Junaithar Pemba