Mshindi Wa Big Brother Star Game Karen Igho ame share picha inayomuonyesha na pete za harusi kupitia ukurasa wake wa isnta Gram jambo ambalo limestua wengi kutokana na ndoa hiyo kutowahi kusikika popote kwamba imefungwa lini na nani ndio bwana harusi
Japo Kareen mwenyewe hakuzungumzi ndoa japo ishara ya pichq ni ndoa hapo ndipo maswali mengi yalipo jitokeza
lakini jamaa mmoja wa karibu na mshindi huyo mapepe kutoka BBA STAR GAME zilinukuliwa hivi…..
Not engaged, but married.
“It didn’t happen this month or last month, she just chose now to reveal it. Can’t say much about it for now though”
Hiki Ndicho Alichokiandika kareen Baada Ya Kupost Hiyo Picha akionyesha pete zake za ndoa bila kuto maelezo zaidi
Kinachotafutwa zaidi kwa sasa ni je nani aliyepata bahati hiyo?